Physiotherapy & Rehabilitation

maumivu ya mgongo

Maumivu ya Shingo Yanasababishwa na nini? matibabu yake je?

Katika jamii kumekuwa na fikra potofu kuhusiana na maumivu ya shingo, wengi wakiamini hili ni tatizo la wazee tu lakini pia wengi huamini kuwa maumivu ya shingo ni kawaida kadri umri unavyozidi kuongezeka.  Ukweli ni kwamba maumivu ya shingo yanaweza kuathiri mtu wa umri wowote lakini wazee wanaweza kuathirika zaidi na aina fulani ya maumivu ya shingo […]

Maumivu ya Shingo Yanasababishwa na nini? matibabu yake je? Read More »

home exercises

Vijue Vifaa Vitatu Muhimu kwa Mazoezi ya Nyumbani 

Najua unapenda kufanya mazoezi nyumbani kama mimi au sio? Binafsi nilianza kufanya mazoezi nyumbani kwa sababu kuu tatu.  Kwanza, muda finyu wa kwenda Gym Kila siku. Napenda sana mazoezi lakini kila muda wa Gym ulipofika nilijikuta sina muda kabisa na hivyo kujikuta nakosa hadi wiki mbili mfululizo.  Pili, kiuchumi. Gym nyingi za mjini ni gharama

Vijue Vifaa Vitatu Muhimu kwa Mazoezi ya Nyumbani  Read More »

Arthritis

Maumivu Sugu ya Joint (Arthritis) na tiba yake 

Shirika la Afya duniani (WHO) linaelezea ugonjwa sugu kama ugonjwa unaodumu zaidi ya miezi mitatu na kuendelea.  Ugonjwa wa Arthritis ni miongoni mwa magonjwa sugu yanayosumbua sana jamii. Wagonjwa huelezea kupata maumivu makali yanayopelekea washindwe kulala usiku na kufanya shughuli zao za kiila siku.  Baadhi ya dalili za ugonjwa huu ni maumivu makali yanayokuja hasa

Maumivu Sugu ya Joint (Arthritis) na tiba yake  Read More »