Chanzo, Tiba na Namna ya Kujikinga na Maumivu ya Bega
Je, unapata shida au maumivu wakati wa kuvaa koti au shati? Wewe ni mwalimu ukisimama darasani kuandika ubaoni na ghafla ukahisi bega lako limekaza kana kwamba linakataa kushirikiana? Au baada ya kushiriki mchezo wowote (kama mpira wa kikapu), ukiamka asubuhi unahisi maumivu makali begani yanayokufanya kushindwa hata kuinua mkono? Maumivu ya bega si jambo dogo […]
Chanzo, Tiba na Namna ya Kujikinga na Maumivu ya Bega Read More »









