Physiotherapy & Rehabilitation

“Mgongo Ukikataa, Mwili Mzima Unalia”

Maumivu ya mgongo wa chini ni tatizo kubwa la afya kwenye jamii nyingi na ndio linaloongoza kwa kusababisha ulemavu duniani. Kutokana na takwimu za shirika la afya duniani (WHO) za hivi karibuni, inakadiriwa kuwa watu milioni 619 wanaishi na maumivu ya mgongo wa chini. Pia inakadiriwa kuwa idadi ya visa itaongezeka hadi kufikia milioni 843 ifikapo mwaka […]

“Mgongo Ukikataa, Mwili Mzima Unalia” Read More »

Tiba ya Maumivu ya Goti ni Ipi?

Zipo tiba malimbali za maumivu ya goti ikiwemo matumizi ya dawa, upasuaji na tiba za fiziotherapia ambapo kila tiba ina nafasi yake katika kumsaidia mgonjwa wa  goti au magoti. Kwenye makala hii nitajikita zaidi katika kuelezea namna tiba za fiziotherapia zinavyoweza kusaidia katika matibabu ya maumivu ya goti au magoti.  Mtaalam wa fiziotherapia ana mchango

Tiba ya Maumivu ya Goti ni Ipi? Read More »

Fahamu Visababishi na Mambo Yanayoongeza Hatari ya Maumivu ya Goti

Goti ni kiungo muhimu sana katika mwili kinachoshiriki katika shughuli mbalimblai ikiwemo kutembea, kukimbia, na katika michezo mbalimbali.  Maumivu ya goti ni tatizo ambalo linaweza kuathiri watu wa rika zote na linaweza kuwa na athari kubwa katika shughuli za kila siku.   Tafiti zinaeleza kwamba asilimia 5% ya wagonjwa wanaoripoti katika vituo vya kutolea huduma

Fahamu Visababishi na Mambo Yanayoongeza Hatari ya Maumivu ya Goti Read More »

Maumivu ya Shingo Yanasababishwa na nini? matibabu yake je?

Katika jamii kumekuwa na fikra potofu kuhusiana na maumivu ya shingo, wengi wakiamini hili ni tatizo la wazee tu lakini pia wengi huamini kuwa maumivu ya shingo ni kawaida kadri umri unavyozidi kuongezeka.  Ukweli ni kwamba maumivu ya shingo yanaweza kuathiri mtu wa umri wowote lakini wazee wanaweza kuathirika zaidi na aina fulani ya maumivu ya shingo

Maumivu ya Shingo Yanasababishwa na nini? matibabu yake je? Read More »

Vijue Vifaa Vitatu Muhimu kwa Mazoezi ya Nyumbani 

Najua unapenda kufanya mazoezi nyumbani kama mimi au sio? Binafsi nilianza kufanya mazoezi nyumbani kwa sababu kuu tatu.  Kwanza, muda finyu wa kwenda Gym Kila siku. Napenda sana mazoezi lakini kila muda wa Gym ulipofika nilijikuta sina muda kabisa na hivyo kujikuta nakosa hadi wiki mbili mfululizo.  Pili, kiuchumi. Gym nyingi za mjini ni gharama

Vijue Vifaa Vitatu Muhimu kwa Mazoezi ya Nyumbani  Read More »

Maumivu Sugu ya Joint (Arthritis) na tiba yake 

Shirika la Afya duniani (WHO) linaelezea ugonjwa sugu kama ugonjwa unaodumu zaidi ya miezi mitatu na kuendelea.  Ugonjwa wa Arthritis ni miongoni mwa magonjwa sugu yanayosumbua sana jamii. Wagonjwa huelezea kupata maumivu makali yanayopelekea washindwe kulala usiku na kufanya shughuli zao za kiila siku.  Baadhi ya dalili za ugonjwa huu ni maumivu makali yanayokuja hasa

Maumivu Sugu ya Joint (Arthritis) na tiba yake  Read More »