COMPANY BLOG
And Updates
January 12, 2026
Je, unapata shida au maumivu wakati wa kuvaa koti au shati?
Wewe ni mwalimu ukisimama darasani kuandika ubaoni na ghafla ukahisi bega lako limekaza kana kwamba linakataa kushirikiana?
Au...
December 23, 2025
Umewahi kukimbia ghafla au kupiga mpira na kuhisi paja linakukata?
Maumivu ya misuli ya paja ni jambo la kawaida kwa wanamichezo na hata watu wa kawaida. Mara nyingi hutokea baada ya shughuli...
November 16, 2025
Je umewahi kuamka asubuhi ukiwa na maumivu ya mgongo bila kujua chanzo chake ni nini? Au kila baada ya kuendesha gari au kukaa ofisini muda mrefu, maumivu ya mgongo yanaanza kukutembelea?
Huenda...
October 20, 2025
Ganzi ya miguu ni hali ya kukosa hisia au kuhisi kama kuchoma choma au sindano kwenye miguu, mara nyingi husababishwa na kugandamizwa kwa mishipa ya fahamu.
Kugandamizwa huku husababishwa na kuteleza...
September 23, 2025
Kiharusi ni hali ya dharura ya kiafya inayotokea pale ambapo damu inashindwa kufika kwenye sehemu fulani ya ubongo, ambayo hutokana na kuziba kwa mshipa wa damu au kupasuka kwa mshipa ya damu inayopeleka...
September 13, 2025
Mazoezi tiba (Therapeutic exercises) ni miongoni mwa tiba ambayo hutumiwa na wataalamu wa tiba za viungo kutibu magonjwa mbalimbali.
Tiba hii ni sehemu muhimu ya matibabu kwa watu wanaosumbuliwa...
August 8, 2025
Utindio wa ubongo (Cerebral Palsy – CP) ni kundi la matatizo yanayoathiri uwezo wa mtu kutembea na kudumisha usawa na mkao sahihi.
Tatizo hili husababishwa na maendeleo yasiyo ya kawaida ya...
August 6, 2025
Maumivu ya kisigino ni tatizo linaloathiri mamilioni ya watu duniani, ikiwa chanzo cha usumbufu mkubwa katika maisha ya kila siku.
Maumivu haya yanaweza kuwa kikwazo kikubwa katika utendaji...
July 9, 2025
Matibabu ya tatizo hili yanahusisha tiba mbalimbali ikiwamo dawa kwa ajili ya kuondoa maumivu au ugonjwa unaopelekea maumivu, tiba ya viungo (physiotherapy) na muda mwingine huhitaji upasuaji kutibu tatizo.
Hivyo...
July 8, 2025
Maumivu ya mfupa wa mkia wa mgongo, ambayo pia hujulikana kama Coccygodynia, coccalgia, coccygeal neuralgia, ni tatizo linaloambatana na dalili za maumivu yanayotokea katika eneo la mfupa wa mkia (coccyx)....
No posts found