COMPANY BLOG
And Updates
May 28, 2025
Katika jamii kumekuwa na fikra potofu kuhusiana na maumivu ya shingo, wengi wakiamini hili ni tatizo la wazee tu lakini pia wengi huamini kuwa maumivu ya shingo ni kawaida kadri umri unavyozidi kuongezeka. ...
December 6, 2024
Najua unapenda kufanya mazoezi nyumbani kama mimi au sio? Binafsi nilianza kufanya mazoezi nyumbani kwa sababu kuu tatu. Kwanza, muda finyu wa kwenda Gym Kila siku. Napenda sana mazoezi lakini kila...
December 6, 2024
Shirika la Afya duniani (WHO) linaelezea ugonjwa sugu kama ugonjwa unaodumu zaidi ya miezi mitatu na kuendelea. Ugonjwa wa Arthritis ni miongoni mwa magonjwa sugu yanayosumbua sana jamii. Wagonjwa...
April 27, 2024
Baada ya kufanyiwa upasuaji mkubwa kama wa uzazi, tumbo, mifupa na kadhalika, mwili wako huwa haubaki kama ulivokuwa. Mengi huwa yanatokea mfano, ngozi iliyokuwa imefunga hubaki na uwazi; kupoteza kiasi...
March 25, 2024
1. Athari ya kisaikologia (mental trauma) Mtu aliyepona au kunusurika na ajali huathirika kisaikologia kiasi cha kuogopa hata kupanda gari, na anapopanda gari basi huwa na hofu kubwa sana (phobia). Jambo...
March 25, 2024
Ni maneno ya kaka mmoja, Bwana Erick Rutahya, aliyekuwa akimuuguza mke wake mwenye kansa ya titi. Walikuwa wanaishi maeneo ya kimara suka. Nilikutana naye wakati amekuja kuchukua majibu ya vipimo vya mke...
March 23, 2024
Kumeza dawa zako kila siku na muda ule ule – hii ni ishara ya nidhamu na kukubali ugonjwa Na mara kwa mara wagonjwa wanao fanya Hivi huwa na matokeo mazuri. Epuka kumeza dawa kadiri unavojiskia na...
March 23, 2024
1. It is not a luxury service, it’s a health improvement service. It was created, not only for the rich, but for anyone who values their health. You save a lot of money and time when your patient...
No posts found