Vijue Vifaa Vitatu Muhimu kwa Mazoezi ya Nyumbani
Najua unapenda kufanya mazoezi nyumbani kama mimi au sio? Binafsi nilianza kufanya mazoezi nyumbani kwa sababu kuu tatu. Kwanza, muda finyu wa kwenda Gym Kila siku. Napenda sana mazoezi lakini kila muda wa Gym ulipofika nilijikuta sina muda kabisa na hivyo kujikuta nakosa hadi wiki mbili mfululizo. Pili, kiuchumi. Gym nyingi za mjini ni gharama […]
Vijue Vifaa Vitatu Muhimu kwa Mazoezi ya Nyumbani Read More »