Kumbe Unaweza Kukodi Wheelchair (Kiti Mwendo)?
Mgonjwa anaporuhusiwa kutoka hospitali, lugha huwa ni moja tu: Kanunue wheelchair. Hii haijalishi una pesa au huna. Haijalishi mgonjwa wako ni wa kuendeshwa siku zote au atapona muda mfupi. Kwa kawaida, mgonjwa kuanzia miaka 0 mpaka 55 akivunjika mfupa wake, huchukua kati ya wiki 6 mpaka 8 kuunga. Lakini, wiki mbili baada ya kuvunjika huwa
Kumbe Unaweza Kukodi Wheelchair (Kiti Mwendo)? Read More »
