Unafahamu unaweza kukodi kitanda cha hospital ukiwa Dar es Salaam?

Sasa Unaweza Kukodisha Kitanda cha Hospitali Ukiwa Dar es Salaam

Ulishawahi kusikia huduma ya kukodisha kitanda? Mara ya kwanza nasikia huduma hii nilikuwa zangu kitaa natafuta kitanda Cha mdogo wangu aliyekuwa kafanyiwa upasuaji wa nyonga. Gharama zilikuwa juu na budget ya familia ndogo sana. Baada ya kuzunguka bila mafanikio ndipo nikaamua kuiyuliza Google kuhusu huduma ya kukodisha. Nilishangaa sana kujua kwamba huduma hii ipo na inatolewa

Sasa Unaweza Kukodisha Kitanda cha Hospitali Ukiwa Dar es Salaam Read More »